Hawa Manchester United watamuacha salama huyu Ole

Mkuu nakusalimia kwa jina la EVERTON
 
Huyu Ole Gunnar Solkjaer hana kabisa uwezo wa kufundisha timu kama Man United basi tu ni kubebwa kisa aliichezea huko nyuma.

Chini yake Man United hawatakaa watwae kombe lolote la maana na nitashangaa kama bado atakuwa hapo hata baada ya dirisha dogo.

Nakumbuka kabla hajaja Man United alikuwa kule Wales akiifundisha timu ya Cardiff City ambao walimtimua kutokana na matokeo mabovu na nafikiri Man U ni mfupa mgumu ambao hauwezi. Time will tell.
 
Hana mbinu
 
Ole sendeka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…