Hawa Manchester United watamuacha salama huyu Ole

Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.

1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,

2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.

3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.

4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.

5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
Mkuu nakusalimia kwa jina la EVERTON
 
Huyu Ole Gunnar Solkjaer hana kabisa uwezo wa kufundisha timu kama Man United basi tu ni kubebwa kisa aliichezea huko nyuma.

Chini yake Man United hawatakaa watwae kombe lolote la maana na nitashangaa kama bado atakuwa hapo hata baada ya dirisha dogo.

Nakumbuka kabla hajaja Man United alikuwa kule Wales akiifundisha timu ya Cardiff City ambao walimtimua kutokana na matokeo mabovu na nafikiri Man U ni mfupa mgumu ambao hauwezi. Time will tell.
 
Hana mbinu
 
Hivi msimu huu ukaisha tena Man Utd watoke kapa bila kikombe chochote watamuacha tu huyu Ole?

Maana wamefukuza Moyes, Van Gal, na Mourinho japo aliwapa kikombe hawakuwa na shukrani. Hivi gana toka awe kocha pale old traford kuna kikombe kaleta?

Sent using Jamii Forums mobile app

B9F1C932-9EBD-4A78-96CC-17A8CA4AA784.jpeg
 
Ole hafukuzwi sababu kazi alioajiriwa ndio aliofanya.

1. Ameondoa deadwoods zote na mishahara mikubwa, ukitoa DE gea waliobakia wote mishahara ni midogo na ina karibia kulingana,

2. Toka aje team ina perform vizuri, kwa Mara ya kwanza timu imeingia top 4 Mara 2 mfululizo msimu wa kwanza nafasi ya 3 na wa pili nafasi ya 2, realistic Goals msimu huu ni kuchallenge Ubingwa, hata kama hata chukua Epl angalau mpaka mwisho wa msimu timu iwe inagombania Ubingwa.

3. Usajili wake ni mzuri, wachezaji vijana ambao wa nataka kuchezea Man U na watu ambao hawaji kula mshahara bure na kubweteka.

4.amerudisha culture ya Timu, academy inapata nafasi, soka la Utd direct kushambulia, so far ushindi wa Goli 5 umekuwa kawaida, etc.

5. Timu imeanza kuwa na depth kila idara, mapengo yote yamezibwa, na sasa kikosi unakiona kimekamilika, hata kama Ole anaondoka Leo man utd, atakua ndio kocha mwenye mafanikio kwetu man utd kwa kuweka foundation ya mafanikio.
Ole sendeka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom