Ukifuatilia vizuri industry ya bongo flevour, producer wachache walifaidika na kazi zao
wingi wa studio umefanya producer wakose kujiamini na kusimamia misingi ya biashara, which is bad
Wasanii wanawanyonya sana producers,
wasanii wanakopa sana na kuleta ushikaji kazini,
''Mr lg aliyetengeneza beat ya sukari ya zuchu, akulipwa kwa kigezo kwamba anatengenezewa jina''
Wanatumiwa na kupata fame ya mda mfupi then wanatelekezwa wakiwa hawana kitu,
Ni mda wa producer kubadilika na kuwa serious na kazi, lazima waige userious wa kazi kama kina master j, pfunk, herm b,