Hawa marefarii watatu hawastahili kuamua tena mechi za Simba au Yanga

Huyo namba 2 sijui kama anastahili ku2a refa wa Ligi Kuu.

Leo nimeangalia mechi ya Prisons vs Utopolo kafnya makosa mengi ya kiuamuzi.
Na huyo #1 awe refa wa kudumu kwa mechi zote za Simba
 
Waamuzi wa mechi zijazo za Yanga...!!!

1. Mwamuzi wa Kati - Ahmed Ally
2. Line one - Murtaza Mangungu
3. Line two - Abdallah Tryagain
4. Fourth officiall - Mohamed Dewji
5. Khamisaa wa mchezo - Waandishi wote wa habari za MAKOLO

Hapo vipi kutakuwa na Malalamiko tena ya waamuzi...???[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…