Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nchi yetu imejaa majitu majinga, badala ya kuwaandalia hawa mashujaa mapokezi kuna mazezeta yanabana pua tu this is simba, very stupid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna nchi iliyowahi kutumia mbinu hioKABLA HAWAJAANZA KUVU BANGI BILA KULA VIZURI WANGEPELEKWA KWENYE ACADEMY MAALUM. ILA THIS IS TANZANIA. WATAENDA BUNGENI BAADA YA HAPO HAITAJULIKANA WALIPOELEKEA
KWAHIYO MBINU GANI NZURI ILI VIPAJI VYAO VISIPOTEE MAANA SIO MARA YA KWANZA KWA VIJANA WADOGO KUPATA UBINGWA ILA TIMU YA WAKUBWA INASHINDWAHakuna nchi iliyowahi kutumia mbinu hio
Kuna Moja Jana lilikuwa linakaa viuno mbele ya watu uwanja wa taifa ,ka SHOGA.Nchi yetu imejaa majitu majinga, badala ya kuwaandalia hawa mashujaa mapokezi kuna mazezeta yanabana pua tu this is simba, very stupid.View attachment 761363
Wamemfunga kila waliyekutana naye.Kuwafunga wasomali ndio tuwaite mashujaa ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga wamepimwa tezi dume.
Umesema sio mara ya kwanza unajua kwanini wanapotea ?KWAHIYO MBINU GANI NZURI ILI VIPAJI VYAO VISIPOTEE MAANA SIO MARA YA KWANZA KWA VIJANA WADOGO KUPATA UBINGWA ILA TIMU YA WAKUBWA INASHINDWA
Umesema sio mara ya kwanza unajua kwanini wanapotea ?
Hawa vijana wamesharudi kutoka kwenye mashindano sasa wakae tu mwaka mzima kambini bila mashindano yeyoye ile ? Au miaka 2,3 ? Haiwezekani ndio maana wanapotea
Mfano Spain under 20 waliocheza fainali ya euro mwaka Jana iliundwa na asensio,ceballos,inaki Williams nk wote wanacheza vilabu vya ligi ya la liga hata under 17 yao ilijumuisha wachezaji wa barca b ,Madrid b,malaga nk
Vijana wanakuwa wanacheza ligi yao na mashindano yakianza wanateuliwa tena
Sasa turudi Tanzania unawakumbuka wale vijana waliotakata Brazil..wako wapi ? Vigumu uwaweke kambi miaka 2,3 wafanye mazoezi tu
Angalia Serengeti boys iliyofanya vizuri mwaka Jana baada ya kufanya vizuri yanga wakamsajili kabwiri ,azam wakamsajili dogo Fulani na ndanda kama sijakosea wakamsajili dogo mwingine tumeona kabwiri akidaka mpaka michuano ya caf ndaNi ya yanga sasa huku hatopotea sababu atakuwa anacheza na kupata uzoefu
Na kingine kila timu ligi kuu iwe na b team na c team na wawekewe ligi yao kwa idadi kama timu za ligi kuu kwa mtindo huu watalindwa Serengeti boys
Under 17,21 za nchi za ulaya zote vijana wao hucheza b teams au A team za klabu za huko
Kwani umekatazwa kwenda kuwapokea??Nchi yetu imejaa majitu majinga, badala ya kuwaandalia hawa mashujaa mapokezi kuna mazezeta yanabana pua tu this is simba, very stupid.View attachment 761363
HII NDIO POINT NLIOKUWA NAMAANISHA IZINGATIWE MAANA HATA IDADI YA WALISAJILIWA NADHANI UNAIONA Na kingine kila timu ligi kuu iwe na b team na c team na wawekewe ligi yao kwa idadi kama timu za ligi kuu kwa mtindo huu watalindwa Serengeti boysUmesema sio mara ya kwanza unajua kwanini wanapotea ?