Hawa mashujaa wa kweli wanatua lini Tanzania?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Nchi yetu imejaa majitu majinga, badala ya kuwaandalia hawa mashujaa mapokezi kuna mazezeta yanabana pua tu this is simba, very stupid.
FB_IMG_1525068979202.jpg
 
Wamepimwa Mara moja tuu Wamebaki Kutema tema mate chini tuuu
 
KABLA HAWAJAANZA KUVU BANGI BILA KULA VIZURI WANGEPELEKWA KWENYE ACADEMY MAALUM. ILA THIS IS TANZANIA. WATAENDA BUNGENI BAADA YA HAPO HAITAJULIKANA WALIPOELEKEA
 
Kuwafunga wasomali ndio tuwaite mashujaa ?
 
KABLA HAWAJAANZA KUVU BANGI BILA KULA VIZURI WANGEPELEKWA KWENYE ACADEMY MAALUM. ILA THIS IS TANZANIA. WATAENDA BUNGENI BAADA YA HAPO HAITAJULIKANA WALIPOELEKEA
Hakuna nchi iliyowahi kutumia mbinu hio
 
Hakuna nchi iliyowahi kutumia mbinu hio
KWAHIYO MBINU GANI NZURI ILI VIPAJI VYAO VISIPOTEE MAANA SIO MARA YA KWANZA KWA VIJANA WADOGO KUPATA UBINGWA ILA TIMU YA WAKUBWA INASHINDWA
 
Umesema sio mara ya kwanza unajua kwanini wanapotea ?

Hawa vijana wamesharudi kutoka kwenye mashindano sasa wakae tu mwaka mzima kambini bila mashindano yeyoye ile ? Au miaka 2,3 ? Haiwezekani ndio maana wanapotea

Mfano Spain under 20 waliocheza fainali ya euro mwaka Jana iliundwa na asensio,ceballos,inaki Williams nk wote wanacheza vilabu vya ligi ya la liga hata under 17 yao ilijumuisha wachezaji wa barca b ,Madrid b,malaga nk

Vijana wanakuwa wanacheza ligi yao na mashindano yakianza wanateuliwa tena

Sasa turudi Tanzania unawakumbuka wale vijana waliotakata Brazil..wako wapi ? Vigumu uwaweke kambi miaka 2,3 wafanye mazoezi tu

Angalia Serengeti boys iliyofanya vizuri mwaka Jana baada ya kufanya vizuri yanga wakamsajili kabwiri ,azam wakamsajili dogo Fulani na ndanda kama sijakosea wakamsajili dogo mwingine tumeona kabwiri akidaka mpaka michuano ya caf ndaNi ya yanga sasa huku hatopotea sababu atakuwa anacheza na kupata uzoefu

Na kingine kila timu ligi kuu iwe na b team na c team na wawekewe ligi yao kwa idadi kama timu za ligi kuu kwa mtindo huu watalindwa Serengeti boys

Under 17,21 za nchi za ulaya zote vijana wao hucheza b teams au A team za klabu za huko
 
hivi kuna kosa serikali au TFF ikishauri/amuru kila timu among top 5 za kila msimu zisajili kutoka under 20 and under 17, at least watatu, top 5 mpaka 10 nao wasajili 2 afu zingine ziwe free, si tutakuwa tumewatengenezea future nzuri, if workable?
 
Umesema sio mara ya kwanza unajua kwanini wanapotea ?

Hawa vijana wamesharudi kutoka kwenye mashindano sasa wakae tu mwaka mzima kambini bila mashindano yeyoye ile ? Au miaka 2,3 ? Haiwezekani ndio maana wanapotea

Mfano Spain under 20 waliocheza fainali ya euro mwaka Jana iliundwa na asensio,ceballos,inaki Williams nk wote wanacheza vilabu vya ligi ya la liga hata under 17 yao ilijumuisha wachezaji wa barca b ,Madrid b,malaga nk

Vijana wanakuwa wanacheza ligi yao na mashindano yakianza wanateuliwa tena

Sasa turudi Tanzania unawakumbuka wale vijana waliotakata Brazil..wako wapi ? Vigumu uwaweke kambi miaka 2,3 wafanye mazoezi tu

Angalia Serengeti boys iliyofanya vizuri mwaka Jana baada ya kufanya vizuri yanga wakamsajili kabwiri ,azam wakamsajili dogo Fulani na ndanda kama sijakosea wakamsajili dogo mwingine tumeona kabwiri akidaka mpaka michuano ya caf ndaNi ya yanga sasa huku hatopotea sababu atakuwa anacheza na kupata uzoefu

Na kingine kila timu ligi kuu iwe na b team na c team na wawekewe ligi yao kwa idadi kama timu za ligi kuu kwa mtindo huu watalindwa Serengeti boys

Under 17,21 za nchi za ulaya zote vijana wao hucheza b teams au A team za klabu za huko
HII NDIO POINT NLIOKUWA NAMAANISHA IZINGATIWE MAANA HATA IDADI YA WALISAJILIWA NADHANI UNAIONA Na kingine kila timu ligi kuu iwe na b team na c team na wawekewe ligi yao kwa idadi kama timu za ligi kuu kwa mtindo huu watalindwa Serengeti boys
 
Back
Top Bottom