Hawa Matapeli bado wapo.

Hawa Matapeli bado wapo.

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Habar wana JF.
Nmekaa nimetulia mara imeingia mesej naangalia ni mesej ya hawa matapeli wanaojifanya waganga
Daah hvi bado wana imani tu ya kupata watu wa kuwapiga hela kwa njia hii kwel!??
Screenshot_20180224-225003.png
 
Aaah wap angekua tajiri yy kwanza akaacha mambo ya kulala na matunguli cku zote
 
Kinachouma zaidi ni pale mitandao ya simu kutokanusha kuwafahamu watu hawa. Only in TanzaniaA
 
Back
Top Bottom