Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Habar wana JF.
Nmekaa nimetulia mara imeingia mesej naangalia ni mesej ya hawa matapeli wanaojifanya waganga
Daah hvi bado wana imani tu ya kupata watu wa kuwapiga hela kwa njia hii kwel!??