Hawa mawaziri na wabunge vijana, kiinua mgongo wanalipwa Ili iweje?

Hawa mawaziri na wabunge vijana, kiinua mgongo wanalipwa Ili iweje?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Nijibiwe,

Vijana( baro baro), wabunge na mawaziri ambao mwaka huu wana miaka 45, chini ya miaka 50, wanainuliwa mgongo upi ambao hata hauna dalili ya kupinda?

Yaani mtu ambaye anagombea Tena,

Kwanini asitunziwe mafao yake na alipwe akifikisha umri wa kustaafu, na iwe mara moja tu, SI Kila mwisho wa kuvunjwa bunge?

Karibuni 🙏
 
Wanalipwa ili wawahonge wapiga kura .Ni heri walimu na watumishi wengine wangeongezwa mafao zaidi.
Nijuavyo mashirika ya Bima ndio hasa hulipa kiinua mgongo,

Sasa kazi ya temporary, kiinua mgongo Tena kwa vijana wanaweza kurudi hata kuendesha bodaboda ya kaz gani?
 
Yaani Bashungwa kiinua mgongo Cha kaz gani?
 
Wananchi wanazuiwa kuchukia mafao yao Hadi uzee,

Leo yule Waziri kijana analipwa kiinua mgongo!
 
Binafsi I don't care Nani analipwa nini na Kwa umri gani.

Ila sipendi kua na double standard kama ilivo sasa, Yaani kwakua wao ni watunga sheria, wamejitungia sheria nzuri za kulipwa vzuri baada ya Ubunge wao kukoma.

Ila sisi Wananchi, Tusubiri mpaka miaka 60, Na fao la kujitoa kwa kiburi tu wakalitoa, Inauma sana.

Kwakua wote ni watumishi wa Nchi hii, Sheria ya Kulipwa mafao iwe implemented kwa watumishi wote, kuanzia raia no. 1 mpaka huku chini
 
Tatizo ni KATIBA yetu mkuu, mbaya zaidi eti wananchi tunawategemea hao wanufaika wa ubovu huo wa katiba kutuletea maendeleo?!.
Yaani eti mtu mwenye akili timamu aukate mti alioukalia...kweli???.
Mie huwa nasali kuomba tumpate Ibrahim Traore wetu Tz...apindue meza, hili genge cccm haliwezi kuachia madaraka kwa amani!!.
 
Back
Top Bottom