Binafsi I don't care Nani analipwa nini na Kwa umri gani.
Ila sipendi kua na double standard kama ilivo sasa, Yaani kwakua wao ni watunga sheria, wamejitungia sheria nzuri za kulipwa vzuri baada ya Ubunge wao kukoma.
Ila sisi Wananchi, Tusubiri mpaka miaka 60, Na fao la kujitoa kwa kiburi tu wakalitoa, Inauma sana.
Kwakua wote ni watumishi wa Nchi hii, Sheria ya Kulipwa mafao iwe implemented kwa watumishi wote, kuanzia raia no. 1 mpaka huku chini
Tatizo ni KATIBA yetu mkuu, mbaya zaidi eti wananchi tunawategemea hao wanufaika wa ubovu huo wa katiba kutuletea maendeleo?!.
Yaani eti mtu mwenye akili timamu aukate mti alioukalia...kweli???.
Mie huwa nasali kuomba tumpate Ibrahim Traore wetu Tz...apindue meza, hili genge cccm haliwezi kuachia madaraka kwa amani!!.