Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel.
Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu.
Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu Kaburu kipindi cha nyuma kidogo. Aliondoka akaniachia urithi huu. Ubaya wake jike lake halipandwi na mbegu nyingine. Linatoa kipigo kikali cha kuua madume wengine.
Mpaka alipokuja nipatia dume lake.nmeshangaa kuona mtu pia anao hawa mbwa. Sikutegemea sana hasa kwa kuwa kuna baadhi ya nchi hawa Mbwa wamepigwa marufuku kabisa kufugwa. Na nchi nyingine unafuga kwa kibali maalum.
Mimi nawapenda na naishi na Mdogo wangu ambaye tunapokezana kuwaangalia kama mimi sipo yeye anaendelea nao. Nikiwepo hivyo hivyo ili mradi wasibaki na njaa.
Chakula nina jamaa zangu wana bucha nawachukulia yale manyama nyama ambayo hayana issue wananiuzia kwa bei ya kirafiki.
Usiku nikiwafungulia hawa nalala bila shaka kabisa. Bahati nzuri kwa mafunzo yao hawali chakula cha kutupwa chini hata iweje.