K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Feb 7, 2021 #41 Super Sub Steve said: Kama kuna story ya kiongozi mmoja au Mzee maarufu kidogo kung'atwa na mbwa wake,najaribu kukumbuka lakini kumbukumbu haziji.Nilikuwa najiiuliza aling'atwaje na mbwa wake,kumbe situation huwa kama hii Click to expand... Mkuu acha uongo. Unafahamu issue!
Super Sub Steve said: Kama kuna story ya kiongozi mmoja au Mzee maarufu kidogo kung'atwa na mbwa wake,najaribu kukumbuka lakini kumbukumbu haziji.Nilikuwa najiiuliza aling'atwaje na mbwa wake,kumbe situation huwa kama hii Click to expand... Mkuu acha uongo. Unafahamu issue!
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Feb 7, 2021 #42 Mbwa Kilo 80.. Huu ni uongo mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mmbwa amemzidi uzito mkude
Mbwa Kilo 80.. Huu ni uongo mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani mmbwa amemzidi uzito mkude
kyemo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 570 Reaction score 718 Feb 7, 2021 #43 Niliona kwenye habari moja ya nje kuna breed moja ya mbwa south africa inatumika kuwinda Simba.Nikajiuliza why tunatengeneza vitu vya ajabu.
Niliona kwenye habari moja ya nje kuna breed moja ya mbwa south africa inatumika kuwinda Simba.Nikajiuliza why tunatengeneza vitu vya ajabu.
F fisi 2 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 3,280 Reaction score 4,645 Feb 7, 2021 #44 Mkuu hao kwa mboga vipi’?!