Hawa mbwa ni hatari, maana wamekuwa wengi sana siku hizi

Hawa mbwa ni hatari, maana wamekuwa wengi sana siku hizi

Mashabiki wa simba ndiyo wanaongoza kujiita mbwa! Sijui wana shida gani. Jana kuna mbwa mwingine aliapa Kagera Sugar itarudisha goli, na matarajio yakawa tofauti kabisa.
 
Mbwa nyingi zipo kule mikiani,,zinahapa na aziwezi kubadilika kuwa binadamu zitaendelea kuwa mbwa siku zote
 
Hivi wale waliosema yanga ikipata ushindi kule Tunisia waitwe mbwa wamerudi kwenye hali ya ubinadamu au bado?
Nawasilisha.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Tunataniana sana hapa Jamiiforums Watu wa Simba na Yanga ila hatujafikia hatua ya Kuitana Mbwa kama hivi. Huna Ustaarabu, Adabu na Akili vile vile.

Cc: Moderator, Paw na Cookie
 
makolo kwa heshima na taadhima inabidi wamjengee mnara wa heshima mzee rage kwa kuwapa jina la mbu3 linaloendana sawia na wenyewe jinsi walivyo au Shadeeya unasemaje?
 
Mdau moja wa Yanga aliambiwa aweke 20,000. Jamaa wa Simba aweke laki moja . Yanga ikifuzu kule Tunisia wa Yanga ale laki moja. Akakataa katu katu. Na walikuwa wengi wa dizaini hiyo.

Wamefuzu wanalamika na kutuzodoa kuwa kiko wapi,kwanini tuliichukulia poa. Kumbe wao wenyewe waliichukulia poa,sie tukaliunga
 
Tunataniana sana hapa Jamiiforums Watu wa Simba na Yanga ila hatujafikia hatua ya Kuitana Mbwa kama hivi. Huna Ustaarabu, Adabu na Akili vile vile.

Cc: Moderator, Paw na Cookie
Ndugu sijataja Timu hapo Wala mtu,
Kama mtu alisema mwenyewe aitwe mbwa na hajafuta kauli yake Mimi na msaidiaje hapo?


Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kama hivi?
20221113_202929.jpg
20220923_210125.jpg


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hili limekuwa shida sasa, mpaka mwingine anaitwa 'Ashura cheupe'. Vingine tuwe tunaviacha/kupotezea ni lugha za utani tu.
 
Back
Top Bottom