Hawa member wako wapi siku hizi?

aseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
Mkuu bora umekuja asee manake hali si Shwari mjini Maiti zinaokotwa kila kukicha ny ingine hazitangazw
 
mwili wangu bado upo upo bwana..... dunia tamu huko tuendako sio kwa kukimbilia aseeeh
 
aseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
Mkuu at your time andaa interview nyingine tafuta mtu atakaye inspire kama yule wa kipindi kile.
 
aseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
Hahaha Mkuu badili avatar maana huyo ni mmojawapo waliokunywa gongo kimara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…