Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
- Thread starter
- #41
Not famous in suchShit!shit!mbona mm hujaniulizia sasa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not famous in suchShit!shit!mbona mm hujaniulizia sasa?!
Mlete uku tunammis na story zake za katerelo
Mkuu bora umekuja asee manake hali si Shwari mjini Maiti zinaokotwa kila kukicha ny ingine hazitangazwaseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
mwili wangu bado upo upo bwana..... dunia tamu huko tuendako sio kwa kukimbilia aseeehMkuu bora umekuja asee manake hali si Shwari mjini Maiti zinaokotwa kila kukicha ny ingine hazitangazw
Mkuu at your time andaa interview nyingine tafuta mtu atakaye inspire kama yule wa kipindi kile.aseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
Mkuu at your time andaa interview nyingine tafuta mtu atakaye inspire kama yule wa kipindi kile.
poa poa mzee... this week mambo yatafanyika
Jambo zuri sanaMkuu at your time andaa interview nyingine tafuta mtu atakaye inspire kama yule wa kipindi kile.
poa poa mzee... this week mambo yatafanyika
sure ni moja ya hazina za jfTunamtaka huyu muhenga Kichuguu i hope atatuelimisha mengi sana huyu mzee
Jamani hivi huyu Wonderful kapotelea wapi? hahahahahahahahahShit!shit!mbona mm hujaniulizia sasa?!
kumbe upo ndugu yangu. hahahahahsure ni moja ya hazina za jf
nipo nahuja umenipotea tu kwenye huu ukurasakumbe upo ndugu yangu. hahahahah
kumbe upo ndugu yangu. hahahahah
Hahaha Mkuu badili avatar maana huyo ni mmojawapo waliokunywa gongo kimaraaseeh mimi nipo msije mkanizushia makuu maana hamchelewi kusema ni mmojawapo wa waliokunywa gongo ya kimara.
haha....hawafanani yule hakunyonga tai ila alitinga suti tu bwanaHahaha Mkuu badili avatar maana huyo ni mmojawapo waliokunywa gongo kimara
hahahahahahahaha,hapana wewe ni maarufu sana hahahahaahSawa sawa kabisa!!!!nashangaa watu wanajifanya eti mm si maarufu.