Hawa member wako wapi siku hizi?

Hawa member wako wapi siku hizi?

Mkuu mimi Mondray nilibadili usser name to Gentries..Pia kiukweli nimekua mvivu sana kuandika napenda zangu kushinda jukwaa la Intell na Hadithi tuu
Dah kweli nimekumbuka ila I'd yako mpya haina mvuto
 
Hivi mpaka leo ile miili 9 hadi 14 inayosemekana kuokotwa katika Fukwe zetu za kuanzia Coco Beach, Kawe Beach, Kunduchi Beach na Mbweni Beach imeshatambulika?
So sad kuna member alisema kuna mwana jf mwenzetu alifariki ila hakutaka kujua I'd yake nadhan mh naishia apo
 
Back
Top Bottom