Hawa member wako wapi siku hizi?

Hawa member wako wapi siku hizi?

Rev Masamilo..........wapi hii Mutu.......................?
 
Hivi mpaka leo ile miili 9 hadi 14 inayosemekana kuokotwa katika Fukwe zetu za kuanzia Coco Beach, Kawe Beach, Kunduchi Beach na Mbweni Beach imeshatambulika?
ni za watu wasiojulikana/ wahamiaji haramu............................
 
Back
Top Bottom