Hawa microfinance wa mitaani ni hatari tupu jana nimeamua kurudi nyumbani

Usijaribu...
 
Mahesabu yao hua yana target 45% mpaka 48% kwa riba hivyo ngumu sana kujinasua kwenye mkopo kama huo! Inakuaje kila siku ulipe interest ya 18% kwa mwezi mzima!!?
 
Mahesabu yao hua yana target 45% mpaka 48% kwa riba hivyo ngumu sana kujinasua kwenye mkopo kama huo! Inakuaje kila siku ulipe interest ya 18% kwa mwezi mzima!!?
Jamaa hujamwelewa:
Yaani ukikopalaki 300000/= itarejesha laki 3 na 54 elfu. Maana yake kila siku unalipa 11800/=
 
Nina sehem ya m pesa,basi kuna wamama kama kumi hivi au zaidi kila siku wanakuja kuweka hela kwenye namba flani kiasi hadi hiyo namba nimekariri,nahisi ndio hao kina kausha damu!
 
Hiyo ni mikopo ya kausha damu aka mikopo ya moto. Wachuuzi wadogo wadogo wa jinsia ya kike, ni wahanga wakuu wa hii mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…