Hawa microfinance wa mitaani ni hatari tupu jana nimeamua kurudi nyumbani

Hawa microfinance wa mitaani ni hatari tupu jana nimeamua kurudi nyumbani

Ukienda kukopa kwa hawa watu sharti Lao la kwanza uwe unalipa kila siku ndani ya siku 29. Then riba ni 18%. Hawataki kwa mwezi wala kwa wiki ni daily. Dhamana ya vifaa vya nyumbani kwako ni muhimu for anything. Kwa starter wa biashara huezi kubali hii kitu.
Usijaribu...
 
Mahesabu yao hua yana target 45% mpaka 48% kwa riba hivyo ngumu sana kujinasua kwenye mkopo kama huo! Inakuaje kila siku ulipe interest ya 18% kwa mwezi mzima!!?
 
Mahesabu yao hua yana target 45% mpaka 48% kwa riba hivyo ngumu sana kujinasua kwenye mkopo kama huo! Inakuaje kila siku ulipe interest ya 18% kwa mwezi mzima!!?
Jamaa hujamwelewa:
Yaani ukikopalaki 300000/= itarejesha laki 3 na 54 elfu. Maana yake kila siku unalipa 11800/=
 
Nina sehem ya m pesa,basi kuna wamama kama kumi hivi au zaidi kila siku wanakuja kuweka hela kwenye namba flani kiasi hadi hiyo namba nimekariri,nahisi ndio hao kina kausha damu!
 
Ukienda kukopa kwa hawa watu sharti lao la kwanza uwe unalipa kila siku ndani ya siku 29. Then riba ni 18%. Hawataki kwa mwezi wala kwa wiki ni daily.

Dhamana ya vifaa vya nyumbani kwako ni muhimu for anything. Kwa starter wa biashara huezi kubali hii kitu.
Hiyo ni mikopo ya kausha damu aka mikopo ya moto. Wachuuzi wadogo wadogo wa jinsia ya kike, ni wahanga wakuu wa hii mikopo.
 
Back
Top Bottom