Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mpira upo mdomoni kwa Zeruzeru ManaraHaka ka ukanda tuna maneno mingi ila mpira ni sufuri.
Tusubiri keshoMpira upo mdomoni kwa Zeruzeru Manara
Kwavile Yanga walileta aibu mwaka jana,unafikiri na Simba watatembea mulemule eeeh?Aibu kubwa inakuja kesho hapo ndio tutajifunza
Siyo kukubali tu,walisurrender mapema tudah mtibwa wamekubali kupigwa mbele ya wake zao
Ni Kiswahili sahihi kabisa sema waTz hatupendi kutumia lugha yetu, tafuta kamusi ya kiswahili......Tusubiri kesho
NB: neno zeruzeru si zuri mkuu.
Wachezaji wetu wana vipaji ila hawapatikani ktk njia sahihiNaelewa unaposema kuwa Mtibwa wanatutia aibu Watanzania; ila kwangu mimi hilo ni dalili ila SIO CHANZO cha tatizo. Naona aibu zaidi kwa kuwa hatujifunzi ili kujua chanzo cha matatizo tuliyo nayo leo Watanzania ni nini?
Kariobangi wametolewaAfrika mashariki zimebaki KCCA, Simba, na kariobangi sharks
"Zahera Mkongo asiingilie Soka letu" hili nalo zuri?Tusubiri kesho
NB: neno zeruzeru si zuri mkuu.
Wachawi ni manula na pascal wawa hawa wengine unawasingizia tuKatika mafanikio yoyote mchawi hakosi, SIMBA pambaneni kiume mtutoe aibu hii
huna busara kabisaMpira upo mdomoni kwa Zeruzeru Manara
Kwanini sina busara,kisa Zeruzeru?embu tafuta kamusi ya Kiswahili then tafuta neno Zeruzeru lina maana gani. Acha kukariri ujinga jinga wewe.huna busara kabisa
Uyo simbä wala sio wa kumuhesabiaAfrika mashariki zimebaki KCCA, Simba, na kariobangi sharks
Usitudharau mkuu, wenzako betting companies wametupa odds 1.94 na nkana amepewa odds 5Uyo simbä wala sio wa kumuhesabia
At your own riskUsitudharau mkuu, wenzako betting companies wametupa odds 1.94 na nkana amepewa odds 5
😂😂😂 kua mzalendo.At your own risk
Sawa uzalendo wangu nitauonyesha kwa kumshabikia Hassan Kessy[emoji23][emoji23][emoji23] kua mzalendo.
Mkuu, leo mikia wameshusha mvua nyingi lakini kipondo kiko pale pale.Kesho zamu ya Mikia kututia aibu,Mungu ibariki Nkana