Mhimili uliojichimbia
Senior Member
- Jul 2, 2017
- 172
- 191
Nafikiri shida sio usahihi wa hilo neno kwani lipo sahihi kilugha lakini si vizuri kumuita mtu kwa kilema chake. Mfano huwezi muita mtu mwenye ulemavu wa jicho moja kwa kusema "wewe chongo njoo nakuhitaji" ingawa kilugha hamna shidaKwanini sina busara,kisa Zeruzeru?embu tafuta kamusi ya Kiswahili then tafuta neno Zeruzeru lina maana gani. Acha kukariri ujinga jinga wewe.