Mhimili uliojichimbia
Senior Member
- Jul 2, 2017
- 172
- 191
Nafikiri shida sio usahihi wa hilo neno kwani lipo sahihi kilugha lakini si vizuri kumuita mtu kwa kilema chake. Mfano huwezi muita mtu mwenye ulemavu wa jicho moja kwa kusema "wewe chongo njoo nakuhitaji" ingawa kilugha hamna shidaKwanini sina busara,kisa Zeruzeru?embu tafuta kamusi ya Kiswahili then tafuta neno Zeruzeru lina maana gani. Acha kukariri ujinga jinga wewe.
Kipigo kipo pale pale,hata wangeshusha thelujiMkuu, leo mikia wameshusha mvua nyingi lakini kipondo kiko pale pale.
Crystal palace na Leicester jana uliziona odds? Acha kukariri,muhindi anajua namna ya kuwapotoshaUsitudharau mkuu, wenzako betting companies wametupa odds 1.94 na nkana amepewa odds 5
Lazima kijana wetu apate supportSawa uzalendo wangu nitauonyesha kwa kumshabikia Hassan Kessy
Kwanini sina busara,kisa Zeruzeru?embu tafuta kamusi ya Kiswahili then tafuta neno Zeruzeru lina maana gani. Acha kukariri ujinga jinga wewe.
Ikifika saa kumi na mbili ndio utaelewa Sisi mashabiki wa Nkana na nyie wa Mikia mnaojipa matumaini pasipo uwezo ni nani Mnafiki.Nagundua kabisa dhahiri kwamba ushabiki wa Mpira wa miguu bila unafiki haitoshi...
Anapeperusha bendera na kuitanga Tanzania vyema kabisaLazima kijana wetu apate support
Kweli kabisaAnapeperusha bendera na kuitanga Tanzania vyema kabisa
Ni mapumziko hapa Chamanzi Kcca wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0 huku mtibwa wakionyesha kiwango kibovu kabisa kuanzia benchi la ufundi hadi wachezaji ndani.
Kwa mpira huu ni ngumu sana vilabu vya Tz kutosajili wachezaji na makocha wa nje ya Tz maana wachezaji wetu wanareflect viwango halisi vya soka letu.
KILA LA HERI MTANZANIA MWENZETU HASSAN KESSY HAPO KESHO
Ila chura sc ndo wakmhesabiaUyo simbä wala sio wa kumuhesabia
Mnafiki anyooshe mikono kwani ameshadhihiri.Ikifika saa kumi na mbili ndio utaelewa Sisi mashabiki wa Nkana na nyie wa Mikia mnaojipa matumaini pasipo uwezo ni nani Mnafiki.
Mungu hasikilizi maombi ya wachawiKesho zamu ya Mikia kututia aibu,Mungu ibariki Nkana
Hope umeshajua mnafiki ni nanIkifika saa kumi na mbili ndio utaelewa Sisi mashabiki wa Nkana na nyie wa Mikia mnaojipa matumaini pasipo uwezo ni nani Mnafiki.
Naomba urudi hapa uikane kauli yakoHata Simba wanaenda kututia aibu tu. Hawana lolote
Haya kila la kheriNadeclare interest!
Mimi Mzalendo!
Kesho namshabikia HASSAN KESSY
Naomba urudi hapa uikane kauli yako