Hawa nao ni kioo cha jamii?

Hawa nao ni kioo cha jamii?

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,238
Reaction score
1,577
Habari wanajf!

Nina hoja fupi ningependa tujadili kidogo.Ni hili suala la wasanii wetu wa kiume;aidha wa muziki au filamu kuvaa hereni.Suala hili limeshika kasi na wale wanaoitwa chipukizi wanaiga bila ya kuhoji.

Sasa kwa maadili ya Kiafrika, wasanii wa namna hii wana sifa ya kuitwa kioo cha jamii? Wanapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?

Hapo sijazungumzia mivaaji ya wasanii wa kike.
Nawasilisha.
 
Kaka wewe uko dunia gani? Dunia ya sasa imevaa chupi kichwani na skirt kiunoni,sasa hivi haizunguki kutoka Magharibi kwenda mashariki tena,sasa hivi ipo na kasi ya kutokea kusini kwenda kaskazini.
Siku hizi mimi sina shida na haya mambo,nayaona ni kawaida tu,so long as am not amonh of them and I will not let any of my children kufanya hivi ikiwa bado anaishi kwangu...
Akitoka mikononi mwangu hata akifi.rwa atajijua mwenyewe...
 
Hicho ni kitambulisho cha mashoga huko Marekani, wabongo kwa kupenda kuigaiga wanajua ni fashion,na walivyo na fikra za kitoto wanajua ili uwe msanii ni lazima ufanye mambo yote ya kijinga na kujidhalilisha.Hao sio kioo cha jamii bali ni janga la jamii.
 
Habari wanajf!

Nina hoja fupi ningependa tujadili kidogo.Ni hili suala la wasanii wetu wa kiume;aidha wa muziki au filamu kuvaa hereni.Suala hili limeshika kasi na wale wanaoitwa chipukizi wanaiga bila ya kuhoji.

Sasa kwa maadili ya Kiafrika, wasanii wa namna hii wana sifa ya kuitwa kioo cha jamii? Wanapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?

Hapo sijazungumzia mivaaji ya wasanii wa kike.
Nawasilisha.
La hasha, hao si kioo jamii bali ni kivuli cha jamii
 
Back
Top Bottom