Hawa nao wahamishwe mabondeni!

Hawa nao wahamishwe mabondeni!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Kama walivyo hamishwa wenzao[emoji15] [emoji15]
%E2%80%AA%2B255%20676%20870%20787%E2%80%AC%2020180416_004200.jpg
 
Hatari sana hii

SIJUI MPAKA YATOKEE MAAFA
NDIO WATAAMISHWA duuuh
 
nani atamwamisha mwenzie mwendo kasi wenyewe upo baharini kabisa pale sio mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo wazo ni lako tu labda na mie, wenyewe wanasubiri wafe kadhaa ndo wapate wazo la kuwahamisha, kwa sasa wako busy kidogo
 
Hilo wazo ni lako tu labda na mie, wenyewe wanasubiri wafe kadhaa ndo wapate wazo la kuwahamisha, kwa sasa wako busy kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Kuna kifusi kimewekwa ple pamoja na mvua yote hii maji hayajakiondoa tuhame twende wp cc bdo tpo sana hpo ndio kwanza tunajaza kifusi ili kujenga uwanja!
 
Back
Top Bottom