Hawa Napoli msimu huu wana balaa zito

Hawa Napoli msimu huu wana balaa zito

Napoli chali huko kama ulivyotabiri. Hawana uwezo wowote napoli wakufikA fainali
Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league
 
Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama nini
Japo pesa ni zao ila pia ziendane na thamn ya mchezaji mtu kama anthony eti 100m 😳
Matatizo ya timu kubwa hayo. Wakienda sokoni kusaka vipaji, kila mtu anapandisha dau, si wanajua pesa ipo. Kwa hiyo tusiwalaumu sana Simba.
 
Back
Top Bottom