Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league
Ac Milan hawawezi kutoboa kwa Inter
Inter ni mbovuAc Milan hawawezi kutoboa kwa Inter
Inter ni mbovu
Matatizo ya timu kubwa hayo. Wakienda sokoni kusaka vipaji, kila mtu anapandisha dau, si wanajua pesa ipo. Kwa hiyo tusiwalaumu sana Simba.Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama nini
Japo pesa ni zao ila pia ziendane na thamn ya mchezaji mtu kama anthony eti 100m 😳