Hawa ndio maadui wa sisi wakaka

TsotsiKwesta

Senior Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
126
Reaction score
258
Katika kizazi chetu hichi wanaume tunapitia changamoto ya kupambana na yafuatayo.
1. Filters
2. Make up excessive use of makeup.
3. Beautyplus and 360 cameras
4. Artificial hair
Kupata mke kipindi hiki kwenye mitandao lazima uyazingatie hayo lasivyo utaamia sana.
Kila mwanamke mzuri kila mwanamke ana shape, kila mwanamke mweupe lakini ukikatana nao unasema ndio huyu kweli au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu ni mtazamo wako sikulaZimishi,
 
Wakaka ni kiswahili cha wapi mkuu?
 
Don’t pay attention to my swahili, did you at least get the message I intended to share? Smh what a nitwit
Maneno mengiiiiiiiiiiiiii,wakaka maana yake nini?

Kuna wanaume/mwanamume.

Hao wakaka labda ni makaka poa.
 
Mwanaume mzima umeyajuaje majina yote hayo ya vipodozi vya kike mimi ndio kwanza niyajuwe leo.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Asante ,snapchat.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Snapchat kila mdada ni ana drive na anaishi sehemu nzuri. Tunaogopa hadi kuwatongoza. I’m like daamn kumbe uchumi sio mbaya kama inavyosadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…