Hawa ndio mademu wa siku hizi

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
mademu wa sikuhizi huwezi kusikia eti ''Baby nna
mimba yako'', hawapatagi mimba hawa hata ule rosti
miaka 8, ukimwaga ugali wanamwaga
mboga...wanaopata mimba hawa ujue wamekuja
mjini na mbio za Mwenge...
Kuwa makini sana, Mapenzi ya siku hizi ni Timing za kumchinja Kobe, ukidhani umewahi kumbe
umewahiwa,True Love ni ngumu sana kupata kama
kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber
 
Sasa wewe ukiambiwa anamimba si ukampime au ndio Akisha kukufahamisha ndio unatoka benzi?
 
Na wala Huto tosheka asilani.
 
Anatupenda, sisi ndio tumeijaza akili yake na moyo wake, ndio maana haishi kutuandika, we are addictive to what we think the most..
Tena nlivokuwa na hasira nawewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…