MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Yaani wew huna macho kabsa ndugu, has iyo lists ndio kina nani hao?? mtaani kuna watoto wazuri mpaka unajiuliza hivi uwa nao wanakunya mavi kweli,1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Mkuu acha wivuDemu mkali ndio yupi? Anaelala na jamaa wengi au? Hao wote ni used and abused. Next..!
Hii uliyoitaja ni list ya Mama huruma embu leta list ya wanawake wazuri usitutanie1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
hiyo elements ni club au? cku ipi nzuri na muda gani mzuri nije?Mkuu alhamis njoo elements masaki alafu uje kuanzisha uzi hapa.ELEMENTS kuna madem wakali hujapata kuona