Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

Hawa ndio mademu wakali kuliko wote Bongo

Hivi wazuri ni wale tu wanaoonekana sana kwenye media ama?

Ngoja nianze kampeni ya kuwapiga picha Watoto wakali mitaani mwenyewe utachoka...mtoto anauza Samaki wakavu ukisema umpeleke shopping hata huyo Uwoya mwenyewe atasalimia kwa kupiga goti.
 
Mkuu alhamis njoo elements masaki alafu uje kuanzisha uzi hapa.ELEMENTS kuna madem wakali hujapata kuona
Nakubaliana na wwe mdau,
Hii ndo shida ya mtu kuishi mufindi huko Idundulumwinyu
Afu unakuja kutoa maoni yako kisa tu unaishia kuwasoma kwenye magazeti ya SANI na KIU
 
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta

Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha

Kichwa cha habari ingefaa iwe "Hawa ndio mademu wagawa utamu kwa kasi kuliko wote bongo"
 
Acheni utani unajua kuna watoto wazuri kama wameshushwa?
Hao uliowataja bila photoshop awapost picha.
 
Ukiwa inatokea town ipo b4 Jackie or after? Ipo barabarani?
before jackies mkuu upande wa kulia barabarani kabisa we soma vibao utaona kama vipi waulize hata vijana wa bajaj watakuonesha
 
Katika Hio listing Hanna hata mmoja umeangaliakigezO gani Hadi useme wazuri au kwakua wanachura
 
Back
Top Bottom