umeona eeDemu mkali ndio yupi? Anaelala na jamaa wengi au? Hao wote ni used and abused. Next..!
before jackUkiwa inatokea town ipo b4 Jackie or after? Ipo barabarani?
Nakubaliana na wwe mdau,Mkuu alhamis njoo elements masaki alafu uje kuanzisha uzi hapa.ELEMENTS kuna madem wakali hujapata kuona
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Ndio mana namwambia aje elements masaki then aje kuandika hapaAcheni utani unajua kuna watoto wazuri kama wameshushwa?
Hao uliowataja bila photoshop awapost picha.
before jackies mkuu upande wa kulia barabarani kabisa we soma vibao utaona kama vipi waulize hata vijana wa bajaj watakuoneshaUkiwa inatokea town ipo b4 Jackie or after? Ipo barabarani?