Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayosema Musiba ni kweli. Kuna watanzania wanawatetea hawa wageni japokuwa wanaambiwa wamekiuka sheria zetu za uhamiaji! Sasa kama walikuwa na nia njema kwanini walifichama! ? Kwanini hawakueleza kilicho waleta? Halafu mijitu iliyozoea shamba la bibi hata kwa usalama wetu wanakasirika! Keep it up Musiba, tupo tunao husudu unayoyafanya. Na mimi natamani kuwa kama wewe.Huyu ccm wamemtoa akili amekuwa kama zuzu
HAWA NDIO MAJASUSI WA CPJ WALIOSHTUKIWA NCHINI TANZANIA...
Halafu kwanini kabla ya video yake hi huyu jamaa tunasikizishwa na tangazo la ATCL!? Ni zile Tsh 100M nini!?Alipokwa Chan. 10 ndiyo ccm walipotengua fyuzi za kichwa chake
Unejuaje ni uongo?Ndio akili zao zilikofikia.Uchumi zero,usalama zero Sasa wanatafuta uongo mpya Kila siku.
wakati wa uchaguzi tulishuhudia kikundi cha propaganda na IT kikiongozwa raia kutoka kenya na korea wakitaka kumsaidia MamviYaani unaweza kimbia uka download ukaishia kukutana na pumbaz yaani pumbaz za kimataifa, lakini kama alivyosema ni mawazo yake yeye kama yeye na akili yake imeweza kufikia huko katika swala zima la kufikiri, kwa hiyo labda tumuache tu kama alivyo
Zitto na tuhuma za kula Shemejiye hazikujibika na mkwara wake uliishia hewaniNi lini huyu jamaa amewahi kua na AKILI? Mi nimemfahamu akiwa Ch 10; nilimdharau since then!
Mbona nayeye ana ID yake humu ya kudhalilisha wapinzani na kumtetea jiwe.huyu bwana mtiririko wa hoja zake zote za kufikirika alafu yeye anaita ni uchunguzi, anakwambia jf 100% ipo kwa ajili ya kuiangusha serikali (wazo lake sijui anahisi wadau wa jf huwa tunakutana sehemu kupanga mashambulizi, hajui sera mbovu na kushindwa kwa jamaa ndo kinacho tuunganisha)
yaani hoja zake ni za kuunga unga, inafika sehemu anaona kabisa anakosea (kutaja nchi kama italy kuendesha uvuvi haramu ) anakimbia kusema nasema kama mwanaharakati
huyu bwana asipo zuiwa atakuja kutuweka matatizoni
Kwa kujuaUnejuaje ni uongo?
Niambie ni dhambi gani mtu KULA mke wa marehemu rafiki yako!? Mandela alioa mke wa marehemu Samola Machel.Kwangu mimi iwe kweli au sio kweli kuhusu Zitto na mke wa MArehemu Deo Filikunjombe sio issue, issue kwangu ni hi, hivi gazeti la habari la lenyewe linaandika UDAKU!? Habari ile ingeandikwa na SANI, na yale ya Shigongo wala kwangu isingekua AJABU, this is why hata wasomaji wa Gazeti la Tanzanite ni watu wasio makini, hakuna mtu makini hua anasoma kigazeti kama hicho, unless kue na scandal kama hiyo ndipo mwenye scandal huamua kukisoma hicho kipeperushi.Zitto na tuhuma za kula Shemejiye hazikujibika na mkwara wake uliishia hewani