Hawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua


Kama ni wa kishua wameshawai kupanda bombadia aka mapanga shaaa??
 
Kabisa Mkuu! Sijui mengi kuhusu Lucci but huyu nisha maisha ya kwao yamekuwa bora miaka ya hivi karibuni tu, but huko nyuma amekula sana vitumbua uswazi..
 
Tsere hakua mtu wa maisha ya showoff na alikua amejenga ya mji pamoja na ukurugenzi wke pia wambulu sio wa2 wa kujikweza
Mhhhh Wambulu gani hao unawasemea sio watu wa kijikweza ? Labda kama wambulu huwajui vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…