Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hata nilichokuwa naandika nishakisahauSasa Wolper katoboa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nilichokuwa naandika nishakisahauSasa Wolper katoboa nini?
Sammy Mdee ndiye alikuwa mkurugenzi AICC baada ya LowasaHuyo si mtoto Wa Tsere aliyekua mkurugenzi Wa AICC?
![]()
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanatokea maisha duni na kupigana na maisha hadi kufikia walipo sasa. Kipindi Diamond akiacha shule kwa kukosa pesa ya kumsomesha nana elimu yake kuishia A'level , Hawa wengine walikua wapo shule wakisoma na kuishi vizuri. Vibe Tanzania inawaorodhesha baadhi ya watoto wakishua ambao kwasasa ni celebrities&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];
Vanessa Mdee
Vanessa Hau Mdee au unaweza kumuita Vee au Vee Money alizaliwa mjini Arusha mwaka 1988. Vanessa mdee alikuzwa na baba yake Sammy Mdee (kwasasa ni marehemu )ambaye alikua ni mtu mzito kwenye nchi hii na mama yake sophia. Akiwa na umri mdogo Vanessa aliweza kusafiri nchi mbalimbali duniani. Vanessa Mdee alikulia miji ya New York , Paris , Nairobi na Arusha.
Nisher
Nisher ni mtoto wa Mtumishi wa Mungu Mh Nabii GeorDavie anayeongoza huduma ya Ngurumo ya Upako yenye makao yake jijini Arusha. Nisher amekulia katika maisha mazuri na hadi ni wakishua bado. Baba yake aliweza kumsaidia Nisher kufungua studio yenye thamani kama ya milioni 15 ili mtoto wake aendeleze kipaji alichonacho.
![]()
Jokate Mwengelo
Huyu unaweza kumuita mtoto wa Oysterbay kwani ndio alipokulia huku baba yake akifanya kazi serikalini. Kumbuka Jokate alizaliwa washington DC nchini Marekani ambapo wazazi wake walikua wakifanya kazi huko. Alipomaliza high school katika shule ya Loyola ndipo alipogombania Miss Tanzania mwaka 2006 na kushika nafasi ya 2.
![]()
Lucci
Jina lake halisi anaitwa Luciano Tsere au unaweza kumuita Lucci ambaye ni producer maarufu nchini. lucci amezaliwa tarehe 30 September mwaka 1985 Lusaka Zambia, akiwa ni mzaliwa wa nne, wa mwisho kuzaliwa na akiwa mtoto wa kiume pekee kwenye familia yao. Lucci naye kama jokate amekulia Obey kwenye familia bora ambapo kwasasa mzee wake ni balozi wa Tanzania.
![]()
Wema Sepetu
Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye Familia ya kibalozi akiwa ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu (marehemu).Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew's jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa huku akisoma elimu yake ya primary na sekondari katika shule ya ACADEMIC INTERNATIONAL iliyopo jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Nchini Malaysia kusomea mambo ya biashara za kimataifa katka chuo cha Limkokwing University.
Wema mshaona sana picha zake ndio maana hapa sijaiweka
Kabisa Mkuu! Sijui mengi kuhusu Lucci but huyu nisha maisha ya kwao yamekuwa bora miaka ya hivi karibuni tu, but huko nyuma amekula sana vitumbua uswazi..Huyo lucci kakulia arusha hiyo obey ameijua akiwa na miaka 20 mana walihamia dar 2006 baba yke alipoteuliwa kua dc,huyo nisha nae walewale 2007 baba yake alikua na ki celica kibovu ndio dogo alikua anaendesha mitaa y kisongo maisha yao yameanza badilika 2010 so sio wa kishua huyo
[emoji38][emoji38][emoji38] wewe kweli duanziumemsahau juma nature hapo
Hivi Leah yupo wapi ?Aicc heka ipo sana sema mzee alikua anaishi kawaida 2 pia binti zake nao hawakua n makuu
Mhhhh Wambulu gani hao unawasemea sio watu wa kijikweza ? Labda kama wambulu huwajui vizuriTsere hakua mtu wa maisha ya showoff na alikua amejenga ya mji pamoja na ukurugenzi wke pia wambulu sio wa2 wa kujikweza