Hawa ndio members Bora wa hili jukwaa la MMU

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya kuuaga mwaka 2024 mwaka uliokuwa na mafanikio makubwa Kwa Kila mtu ...kulingana na utafiti niliyoufanya

Hawa ndio members walioupiga mwingi kwenye jukwaa la MMU based on several factors such ,, most appearance, content creators , love story telling and others.....other factors remain constant

Labani og
Huyu mwamba yupo active kulike, kucoment thread mbalimbali hapa mjini MMU
rickboy
Huyu mwamba bado anabebwa na ule Uzi wake wa kula tunda kimasihara kama asingekuwepo laban og....basi rickboy angeongoza
patrickk
Mwamba ametikisa dk za mwisho kabisa Kwa ule Uzi wake wa kuchakata bikra za kna grace
Extrovert
Mwamba kwenye kusimulia ameupiga mwingi especially narration of events
Robert Heriel Mtibeli
Mwamba kaliheshimisha jukwaa la MMU Kwa debate zake kuhusu mapenzi
cacutee
Mwanadada kaonekana sana kwenye kutupia thread hapa jf ....I'm sure yupo single
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Mwamba anaonekana anampenda sana mke wake ...japo tutamuoa tu
To yeye
Hawa ndio wakongwe hapa MMU ukimuongeza na financial services
Equation x
Magical power
Yoda

NB: Mughonile ...mulobwke bandu bha kyala
 
Nimepokea Maua yangu๐Ÿ˜€
 
Mbona kwenye picha wanaonekana wote ni vijana sana...๐Ÿคฃ
 
Asante mtu wangu wa nguvu
Mapenzi ni maisha ya kila siku hatuna budi kuishi nayo japo yanatukandamiza daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ