Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Lama mimi sijatajwa hamna maana kwenye huu uzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hay mambo Kama yanaenda Kwanzaa interest ngoja nimsome huyu Pisi kali Nina interest na kariakoo kwasasa. KENZY ni wajukwaa gani na mambo gani sio ๐Ÿ˜๐Ÿ˜mchambuzi wa pisikali.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mkuu nakuomba fatilia wengine kwangu hutaambulia kitu kwakweli! Labda Kama unamuda wa kupoteza hapo sawa lkn kwa content za muhimu hapa umekosea!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ