Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Shaadeya, Frank Wanjiru- Yanga lialia
Okwi Boban Sunzu+ Forteza- Nyau Fc Lialia
Erchcocyte (sina hakika na spelling)+BAK+Sky Eclat-Chadema lialia
Victoire- Haeleweki
Magonjwa Mtambuka, Eltwege, Jane Lowasa- Ccm lialia
Chizi Maarifa- mpenda sket
Kitoabu- Man U lialia
Gentycmycine- Misifa boy
 
Yule ni debe tupu,sijui huwa anamkubali kwa lipi? Kwa story za kujifanya mganguzi,sijawahi kubaliana wala kumuelewa huyu debe tupu Mshana Jr

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
😲😲😲
Kwangu ni mmoja ya watu walionifanya nijiunge JF. Kutokana na nyuzi zake maridhawa except nyuzi za ulozi🤣
 
Naona nimetajwa, niseme asante kwa kutambua mchango wangu. Huwa siandiki nyuzi kwa vile naandika sana gazeti na sipendi kuchosha watu. Nikitaka kuuliza kitu hasa naingia PM kwa watu ninaojua wana majibu au natafuta nyuzi za zamani kuliko kuanzisha uzi mpya.

Humu JF kila watu wana sector zao na kama huendi uko huwezi jua umaarufu wao.

Mfano nilikuwa nashangaa KENZY anatoa wapi umaarufu, kumbe jukwaa analokaa sikuwa naingia.
Kama husomi biashara ndogondogo huwezi jua umaarufu wa CONTROLA au Hornet wala mwenye Kariakoo yake Pisi kali

Kuna watu pia wako majukwaa fulani tu. Unaweza hisi hawakai sana JF ila uzi ukianzishwa jukwaa lake bila kuitwa wala hachelewi ashajazia nondo. Kama mkuu Chige na historia ya nchi.

Huyu Bwana Utam sijawahi muona popote isipokuwa kimataifa akiwatetea Iran.

Kuna watu wanaheshimiwa ila mpaka sasa sijaona mtu ana heshima na kukubalika kama Pdidy kwenye kubeti, ukimkuta nje na hapo hata kuandika hazingatii.

Mambo ni mengi
Pdidy ana mwandiko mbaya sana aisee, cha kushangaza ukimkosoa wadau wanakujia juu eti kwa nini unakosoa mwandiko wa Pdidy😀😀😀
 
Hawa ni baadhi ya member wenye Contents nyingi sana kwenye baadhi ya nyanja za maisha, kunaweza kukawa na wengine ila hawa ndio nime wang'amua kwa.

Vigezo nilivyotumia
1) KuSpecilze nyanja fulani
2) Kuandika Contents zilizo na information nyingi na details za kutosha.
3) Kubeba maono

Wyatt Mathewson
Huyu content za kibabe (Capitalist) zenye maono sana ukiisoma misimamo ya huyu inakujenga kuwa strong sana kwenye masuala ya uchumi na maisha.

Nafaka
Huyu ana Content zinazohitajika dunia ya sasa, kwenye Content za Online Money Making, Content za maisha ya kiuchumi na mambo ya pesa kiujumla contents nyingi.

GLOBAL CITIZEN
Huyu ndio Father WA Online Business, ana contents zenye ujazo Sana na anaamini kama upo good kwenye kitu fulani usifanye for free.

C.T.U
Huyu Contents zinazohusu Startup, Online Software, Kampuni zenye mlengwa wa Silicon Valley yupo vizuri sana, yupo vizuri kwenye Calculation za namba Za projects.

Mwl.RCT
Moja katika watu wanaoheshimika sana, kwenye nyanja ya online shopping na uwanda mzima wa online Business.

Chief-Mkwawa
When it come to technology mambo ya hardware na software simu na computer huyu mwisho, anaelezea simu vikarabwasha mpaka unajiona mweupe, He is Search Engine at that area. Tukizungumzia ujazo wa details huu mfano mahsusi.

T14 Armata
Huyu haja-base kuanzisha nyuzi contents zake utaziona kwenye reply zake na content nyingi sana za masuala kijeshi, Biashara na mtu aliye Update sana na kinachoendelea Duniani.

Da'Vinci
Huyu ni konyo sijui anaishi vipi kama Content huyu bwana ni maktaba, anasoma sana huyu jamaa.

Habibu B. Anga
Huyu ndio Father of Content jukwaani.

Hawa wanaeleza kitu in details, numbers na mifano ukifuatilia nyuzi aunt reply zao zimeshiba contents.

Wengine nimewasaau nitawaweka.
Kama wafuatao hawapo hiyo list Ni feki.
1. Kitoabu
2. Sky eclat
3. Bushmammy
4. Mamndenyi
5. LwandaMagere
6. Extrovert
7. Zero IQ
8. KIDUKU LILO
9. CHIZI MAARIFA
 
Saafi
 
Mkuu Kuna wengine tunafahamika kabisa kwenye content za maana hatuwezi kutajwa ila njoo kwenye nyuzi za wenye vibamia sikosi!,nyuzi za kuitwa majina mabaya Kama kiberenge nipo!,ubaharia wa nchi kavu nipo!..n.k you have to know where you are..

Mpk nimeandika kiingereza jua ni swala lenye touching haswa! Mkuu we ni Bata tu Kama mimi..[emoji23]

[emoji23] big up sana mkuu huwa tunapishana huko.
 
Back
Top Bottom