Anamaanisha au anataka kutuambia anawajua hao aliowataja kwamba ni Single Mothers.Singo maza hapa wanahusika vipi na mada yako
Me too shem.. ZimefikaShemeji i miss u msalimie Nyag..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapa kuna povu la Omo linakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywaaa sodaaa kila mtu amepewa uwezo wake wengine walikuwa wwnafit kwenye somo la History wengine Math na wengine kiswahili tunatofautianaaaa"If you judge a fish b climbing a tree it will live his whole life believing its stupid "
Hivyo kila mtu ana makujwaa yake anayofanyia vizuri huko. Kuna Mama Sabrina, Demiss Dinazarde e.t.c hawa jukwa la wakubwa ni hatari sana wako vizuri.
Miss Natafuta anapiga miguu yote kama Fabregas kila jukwaa anafit.
Tunatangaza biashara gani tuanzie hapaa?Hao ni mal...ya mkuu wanatangaza biashara
Itakuwaaa poaahHii vita itakuja kuleta ban
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kwani usingle mother ni ulemavu. Mbona hii imekua ndio fimbo ya kuchapia wanawake humu JF.
Sio lazima kila mtu awe na hizo concrete nondoz. Kuna wengine wamebobea sekta nyingine ndio maana waliopendekeza majukwaa hawakuweka jukwaa la intelligence peke yake. Yapo majukwaa kedekede mtu afit anapoweza. Kila mtu akiwa na hizo nondo then dunia haiwez zunguka.