Hawa ndio Most Female GreatThinker Jf nzima...

Hawa ndio Most Female GreatThinker Jf nzima...

"If you judge a fish b climbing a tree it will live his whole life believing its stupid "

Hivyo kila mtu ana makujwaa yake anayofanyia vizuri huko. Kuna Mama Sabrina, Demiss Dinazarde e.t.c hawa jukwa la wakubwa ni hatari sana wako vizuri.

Miss Natafuta anapiga miguu yote kama Fabregas kila jukwaa anafit.
Kunywaaa sodaaa kila mtu amepewa uwezo wake wengine walikuwa wwnafit kwenye somo la History wengine Math na wengine kiswahili tunatofautianaaaa
 
Kwani usingle mother ni ulemavu. Mbona hii imekua ndio fimbo ya kuchapia wanawake humu JF.

Sio lazima kila mtu awe na hizo concrete nondoz. Kuna wengine wamebobea sekta nyingine ndio maana waliopendekeza majukwaa hawakuweka jukwaa la intelligence peke yake. Yapo majukwaa kedekede mtu afit anapoweza. Kila mtu akiwa na hizo nondo then dunia haiwez zunguka.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom