Kwa akili ya kawaida utaona ni divorce . . Ila hawawezi kukwambia siri iliyopo hapo .. kiufupi tu Ndoa ni taasisi ambayo inakuwa na kawyers na bankers na kila kitu ambacho taasisi inahitaji wanafanya hivyo kwa sababu ya protection na mambo ambayo ni siri huwez yaona hapa .
Ndoa za matajiri wa huko sio kama za huku mjomba . Fungua kwanza ufahamu wako