Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Uchambuzi Mwepesi sana hata wale Chipukizi wa Chama hawauelewi 😁Wapi hujaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchambuzi Mwepesi sana hata wale Chipukizi wa Chama hawauelewi 😁Wapi hujaelewa
MKWEPU JR MZEE WA LIKEKama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023
1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa ngap[emoji23][emoji23] japo alipoteaga Baada kichapo Cha 5...0
2. Scars ...hawa ndo wazee wa kuanzisha thread za michezo
3. Nifah .. ameupiga mwingi jukwaa la michezo
4. NALIA NGWENA .... Mzee wa kuanzisha thread 300 per hr[emoji23]
5. SAGAI GALGANO ...Simba ikifungwa analeta thread za mangungu ajiuzulu [emoji23]
6 Lupweko ... kijana yupo zaidi jukwaa la michezo zaidi kuliko jukwaa zingine
7. Smart AJ ...Mzee wa ngoja wengine waje ....rafiki yake na Antonia
8. Tate Mkuu ....rafiki yake na Kalpana [emoji23]
9.@Lambardi ... mwamba kaupiga mwingi jukwaa la michezo
10. Kilimbatz ....most appeared member in 2023
11. cocastic .....kolo Lia Lia mwenye emojis nyingi za vicheko hapa jf...hata akitukanwa[emoji23]
Interlacustrine R ....mwamba mwenye comment ndefu inayotaja majina ya wansimba
mbinguni kwetu ... ameupiga mwingi mwaka 2023
Majok majok ...mwamba mwenye mpira wake
NB ni hao tu Kwa mwaka 2023 based their rating for the appearance in jamii spots
Ngoja nimtafuteMKWEPU JR MZEE WA LIKE View attachment 2850498
mkwepu jr huyu hapaNgoja nimtafute
Yaaah mkuu [emoji23]Haha Kilimbatz mzee wa "Aahaaa", umemsahau mtani wangu wa faida kabisa, Charles kilian
InshaallahJitahidi mkuu