Hawa ndio vijana sita wenye nguvu na kukubalika zaidi Tanzania

Hawa ndio vijana sita wenye nguvu na kukubalika zaidi Tanzania

Jaman jaman mengi na bakheresa umewapotezea kweli aya bhana mpaka sabuni ya azam
 
Nguvu ni nini??hivi diamond ananguvu gani??ninyi muwe mwaandika mambo mnayo yafahamu sio kukurupuka.hapo mtu pekee mwenye nguvu ni Ruge mtahaba kwani anauwezo wa kushawishi. Chochote kile kuhusu tasnia ya musiki na kikatekelezeka hiyo ndio nguvu ya ushawishi .sio kuzungumziwa ktk magazeti ya watu wasio na elimu useme hiyo nayo ni nguvu yta ushawishi tena kwa kashfa chafu.Ok,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa mujibu wa utafiti wetu wa miezi miwili tumegundua awa ndio vijana wenye nguvu na wanaokubalika zaidi hapa Tanzania kwa sasa. Utafiti huu umeshirikisha members wenzetu mbalimbali.



Tulizingatia haya yafuatayo

Nguvu yake kwenye mitandao ya kijamii

Anavyopokelewa kwenye mikusanyiko

Kutajwa kwenye vyombo vya habari

Na mchango kwenye jamii yake


Vijana awa ni wafuatao


1. Diamond platnumz

Aka Dangote au Sukari ya Warembo, uyu ni kwa sasa ndio msanii namba moja wa bongofleva. Ana ushawishi mkubwa sana kwenye industry ya muziki afrika ya mashariki na kati, show anazofanya zinavuta watu wengi haswa vijana. Diamond ni balozi wa coca cola, mziiki, dstv. Ndio msanii anaelipwa pesa nyingi kwa sasa afrika mashariki na kufanya matamasha kwa bei mbaya sana. Kwa sasa Diamond ndie biashara kubwa kwenye tasnia ya sanaa Tanzania na East Africa.Kinachomfanya D kuwa msanii wa kipekee sio miujiza bali ni ubunifu, kufanya kazi kwa bidii, kuwekeza kwenye kazi yake na good marketing strategies.


2. Zitto kabwe

Mwanasiasa kijana anaekubalika na watu wa kada zote, itikadi zote na rika zote. Ndio amewashawishi vijana wengi kuingia kwenye siasa kutokana na misimamo yake, mitazamo yake na ushawishi wake kwenye kujenga hoja. Kwa sasa hana maelewano mazuri na chama chake cha chadema ila nguvu yake bado haijatetereka na ushawishi wake kwa vijana ni mkubwa mno. Zitto anakubalika kutokana na kuweka wazi mitazamo yake na kuisimamia.

3. Lady jaydee


Maarufu kama ‘Komando’ au ‘Anaconda’ majina yake tu yanaweza kukutambulisha uyu ni mwanamama wa aina gani. Ndio msanii anayeongoza kwa kuwa na mashabiki wengi afrika ya mashariki, ni CEO wa Nyumbani lounge, anamiliki Machozi band, ni balozi wa oriflamme, marie stopes na ana biashara zingine nyingi. Uyu dada ni hustler na hapo alipo ana tuzo nyingi mpaka pakuziweka pamekosekana.


4. Patrick Ngowi

A.k.a billionea mtoto ni kijana mchakarikaji anayedhiirisha kwamba hard work pays alianza na biashara ya simu na kuamia kwenye solar, anatengeneza pesa chafu sana kutokana na biashara yake hiyo ni tishio la baadae kwa kina Mengi, Bakhresa na Rostam. Anatambulika na Forbes na tahasisi nyingi za kimataifa kama mfano mzuri kwa vijana wa kiafrica.


5. Ruge Mutahaba

Uyu ni master mind wa tasnia ya burudani Tanzania, ndio roho ya clouds media kwa sasa. Kijana uyu wa kihaya ana ushawishi mkubwa sana kwenye muziki na biashara ya sanaa kiasi kwamba kuna wanaoamini ndio upanga kila kitu na wengine kufata alichopanga, ushawishi wake upo mpaka Ikulu. Nafasi yake pale Clouds media haieleweki vizuri maana amekaba kila angle almaarufu “kiraka”. Ndio mmiliki wa tahasisi ya vipaji ya watoto yatima (THT), mmiliki wa Pera Africa kampuni ya ringtones na callerback tunes, pia Ruge ni mmiliki wa mtandao mmoja mpya wa kuuza kazi za wasanii na biashara zingine ikiwemo kusimamia wasanii na kuandaa matamasha ya muziki mfano tamasha la injili.


6.Flaviana Matata

Mwanamitindo anayeeshimika na kuiwakilisha vizuri sana Tanzania kimataifa katika anga za mitindo na kugeuka kipenzi cha vijana wengi haswa wa kike. Flavi kwa sasa anafanya shughuli zake nchini Marekani na amefanikiwa kufanya kazi zake na makampuni makubwa ya mitindo duniani. Nje ya kazi yake ya fashion Flavi pia ni mshiriki mzuri wa shuguli za kijamii kupitia tahasisi yake, amekuwa akichangia elimu maafa na vinginevyo.


Huu ndio utafiti wetu na matokeo yake, lengo lilikuwa kupata vijana kumi ‘wa nguvu’ lakini tunasikitika tumeangaika sana lakini tumeishia vijana awa sita tu. Ila kama kuna unayetaka kumwongezea unakaribishwa……………………………………………………………..

Sasa na mimi nikiongeza hao watu huo utakua utafiti wa nani wangu wako?..unajua tofauti ya utafiti na maoni?..ukisikia akili ndogo ndo kama hizi zako
 
Unaposema kijana unamaanisha kijana wa umri gani?

Mimi nafahamu kijana mwisho miaka 35.

Sasa kwa ufahamu wangu naona orodha yako ina wazee.

Kwa mujibu wa utafiti
wetu wa miezi miwili tumegundua awa ndio vijana wenye nguvu na
wanaokubalika zaidi hapa Tanzania kwa sasa. Utafiti huu umeshirikisha
members wenzetu mbalimbali.



Tulizingatia haya yafuatayo

Nguvu yake kwenye mitandao ya kijamii

Anavyopokelewa kwenye mikusanyiko

Kutajwa kwenye vyombo vya habari

Na mchango kwenye jamii yake


Vijana awa ni wafuatao


1. Diamond platnumz

Aka Dangote au Sukari ya Warembo, uyu ni kwa sasa ndio msanii namba moja
wa bongofleva. Ana ushawishi mkubwa sana kwenye industry ya muziki
afrika ya mashariki na kati, show anazofanya zinavuta watu wengi haswa
vijana. Diamond ni balozi wa coca cola, mziiki, dstv. Ndio msanii
anaelipwa pesa nyingi kwa sasa afrika mashariki na kufanya matamasha kwa
bei mbaya sana. Kwa sasa Diamond ndie biashara kubwa kwenye tasnia ya
sanaa Tanzania na East Africa.Kinachomfanya D kuwa msanii wa kipekee sio
miujiza bali ni ubunifu, kufanya kazi kwa bidii, kuwekeza kwenye kazi
yake na good marketing strategies.


2. Zitto kabwe

Mwanasiasa kijana anaekubalika na watu wa kada zote, itikadi zote na
rika zote. Ndio amewashawishi vijana wengi kuingia kwenye siasa kutokana
na misimamo yake, mitazamo yake na ushawishi wake kwenye kujenga hoja.
Kwa sasa hana maelewano mazuri na chama chake cha chadema ila nguvu yake
bado haijatetereka na ushawishi wake kwa vijana ni mkubwa mno. Zitto
anakubalika kutokana na kuweka wazi mitazamo yake na kuisimamia.

3. Lady jaydee


Maarufu kama ‘Komando’ au ‘Anaconda’ majina yake tu yanaweza
kukutambulisha uyu ni mwanamama wa aina gani. Ndio msanii anayeongoza
kwa kuwa na mashabiki wengi afrika ya mashariki, ni CEO wa Nyumbani
lounge, anamiliki Machozi band, ni balozi wa oriflamme, marie stopes na
ana biashara zingine nyingi. Uyu dada ni hustler na hapo alipo ana tuzo
nyingi mpaka pakuziweka pamekosekana.


4. Patrick Ngowi

A.k.a billionea mtoto ni kijana mchakarikaji anayedhiirisha kwamba hard
work pays alianza na biashara ya simu na kuamia kwenye solar,
anatengeneza pesa chafu sana kutokana na biashara yake hiyo ni tishio la
baadae kwa kina Mengi, Bakhresa na Rostam. Anatambulika na Forbes na
tahasisi nyingi za kimataifa kama mfano mzuri kwa vijana wa kiafrica.


5. Ruge Mutahaba

Uyu ni master mind wa tasnia ya burudani Tanzania, ndio roho ya clouds
media kwa sasa. Kijana uyu wa kihaya ana ushawishi mkubwa sana kwenye
muziki na biashara ya sanaa kiasi kwamba kuna wanaoamini ndio upanga
kila kitu na wengine kufata alichopanga, ushawishi wake upo mpaka Ikulu.
Nafasi yake pale Clouds media haieleweki vizuri maana amekaba kila
angle almaarufu “kiraka”. Ndio mmiliki wa tahasisi ya vipaji ya watoto
yatima (THT), mmiliki wa Pera Africa kampuni ya ringtones na callerback
tunes, pia Ruge ni mmiliki wa mtandao mmoja mpya wa kuuza kazi za
wasanii na biashara zingine ikiwemo kusimamia wasanii na kuandaa
matamasha ya muziki mfano tamasha la injili.


6.Flaviana Matata

Mwanamitindo anayeeshimika na kuiwakilisha vizuri sana Tanzania
kimataifa katika anga za mitindo na kugeuka kipenzi cha vijana wengi
haswa wa kike. Flavi kwa sasa anafanya shughuli zake nchini Marekani na
amefanikiwa kufanya kazi zake na makampuni makubwa ya mitindo duniani.
Nje ya kazi yake ya fashion Flavi pia ni mshiriki mzuri wa shuguli za
kijamii kupitia tahasisi yake, amekuwa akichangia elimu maafa na
vinginevyo.


Huu ndio utafiti wetu na matokeo yake, lengo lilikuwa kupata vijana kumi
‘wa nguvu’ lakini tunasikitika tumeangaika sana lakini tumeishia
vijana awa sita tu. Ila kama kuna unayetaka kumwongezea
unakaribishwa……………………………………………………………..
 
Unaposema kijana unamaanisha kijana wa umri gani?

Mimi nafahamu kijana mwisho miaka 35.

Sasa kwa ufahamu wangu naona orodha yako ina wazee.

Hata mie nilikuwa na uelewa kuwa ujana mwisho 35 sasa hiyo orodha kama wamezidi labda Diamond wengine cwajui vizuri
 
Umemsahahu bilionea mtoto aka kubwa jinga le mutuz system wa mbebebez.
 
kumuacha lulu,haikubaliki.ameshawishi hadi mahakama imemtoa jela.tungekuwa sisi upelelezi miaka 3.she deserve no 1
 
Back
Top Bottom