Hawa ndio wabunge ambao hawatarudi tena 2025, Waanze kubeba virago

Mbunge WA Segerea
Bonnah Kamoli
Asubirie 2025, kama HAKUTAKUWA na wizi was kura ni mwisho kumuona mjengoni.
 
Mrisho Mashaka Gamble
 
Mbeya wameanza ujenzi wa 4 ways Uyole Mpaka Ifisi hii itambeba sana pia miradi ya maji.
 
Jimbo la HAI, UBUNGO, KIBAMBA.
 
Duuuh! Mpaka nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa yupo kweny list?
 
Mbunge wa Kigamboni Ndugulile hana chake,

Watureteee Makonda, tureteeni Makonda Kigamboni
 
Alieiba KURA
Akaiba Sadaqa za Wanakondoo
Anaenda tena kuiba KURA 2025
 
Kwa Tulia siyo kweli

Hawezi shinda hata kura ya maoni CCM 2025,usione sababu ni speaker basi ndiyo Mbeya anachagulika.

Kama sio Magufuli 2020 asingeweza mshinda wakili Tanbwee Shitambala kura za maoni CCM.

Tambwee anaweza pewa u DC muda wowote ili asigombee ndani ya CCM lkn uchaguzi mkuu ukiwa wa uhuru na haki na Speaker akipata hata robo ya kura za Sugu basi Dr Tulia atangazwe kashinda.

Magufuli hayupo,Dr Tulia hawezi shinda Mbeya labda wagawe jimbo hilo na yy asimame jimbo jipya
 

6. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amekula 400 m za boda boda

7. Mbunge wa Geita vijijini Joseph musukuma , ameshindwa ujenzi wa barabara kuu itokayo Geita kwenda Nzera makao makui ya Halmashauri.

8. Mbunge wa Jimbo la Hai , Saashisha Mafue, ameshinda kumalizia Jengo la ccm wilaya ya Hai.

9. Mbunge wa Jimbo la Gairo, ameshindwa kujenga kituo cha afya wananchi wanatembea Km 200 kufuata huduma ya afya.

10. Mbunge wa Moshi Mjini ameshindwa kupanua kwa kiwango cha lami. barabara inayohudumia Hosptali ya Rufaa ya kanda ya kaskazini eneo lenye umbali wa 2.6 km tu. Huyu mbunge hafai kwa 100%
 
Mrisho Mashaka Gamble
Hili ni Jembe, Tuache unafiki na Chuki! kwa Arusha Mjini bado tunamuhitaji sana tu! anapambana na kero za wapiga kura wake vizuri Sana! yeyote atakaeingiza mguu kwa jimbo la Arusha Mjini dhidi ya Gambo anachapika Mapema kabla jua halijakaa usawa wa utosi.
 



6. Kama amekula pesa na una ushahidi wahi polisi chap, sio kuja kutueleza hapa hii nchi ya kidemocrasia na ina heshimu haki za watu kupitia mahakama.

7,8, 9, 10 - Fanya rejea ya kazi za wabunge kama hauzijui tukujulishe, mambo ya Ujenzi M'bunge hausiki nayo! lete sababu genuine.
 
Mbunge wa Mbagala (Chaurembo) ni bomu kabisaa.
Anatumia fedha kuunda makundi na hakuna anachokifanya cha maendeleo zaidi ya kujineemesha kupitia miradi ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…