Hawa ndio wabunge ambao hawatarudi tena 2025, Waanze kubeba virago

Mkuu huyo ndugu nadhani alikuwa RC wa hapo hapo Arusha, sasa kwa nini anailaumu sana Halmashauri wakati ndiyo iliyo mbeba mpaka akawa Mbunge.
 
Jerry slaa Ni Kama ccm wenzake hawamtaki so anakwamishwa Kama kupiga kelele kuhusu barabara anapambana Sana,siasa Ina Mambo mengi anatengenezewa mazingira magumu wananchi wamkatae na hili limefanikiwa
 
Nenda kawasaidie kujenga wewe
 
Polisi yetu ni 2025 october
 
Ukifika kwenye madhambi yao binafsi ,hakuna mbunge atarudi bungeni,tujadili maendeleo ya jimboni mwao,wabunge hao hao Kuna mashoga,wazinzi,wezi,wasagaji,kwa dhambi kibao,kwa Nini uangalie ilo lake tu la ulevi?

kuna wabunge mashoga???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…