Wewe si ulimuona na ulikuepo?Wewe hujamuona kipindi Maradona anacheza mpira yani Mess hata robo hamfikii Maradona
Messi hawezitoka hapo kamwe maana hana uwezo wa kupambana kwingine kama CR 7 ambaye popote anaweka kambi na anafanikiwa.
Kama kweli anajiamini mwambie atoke hapo akafanikiwe ktk ligi nyingine kama alivyopambana CR 7 tangu akiwa Ureno, Uingereza, Hispania na Italy.
Kiongoz.achana nao hao si wafatiliaj wa mpira we angalia hata comments zao unaona kabsa ni wale watu wa kusubiria kombe la dunia ndo waangalie mpiraHana kigezo cha kuwepo hapo...tatizo watanzania mnaangalia madoido uwanjani, but kaipa mafanikio gani tim yake! Hilo ndio swali!
Uefa ana 1
Ballon de ore 1
Sasa utamuweka wapi hapo, hata zidana na de lima wamemzidi...
We kijana unasoma na kuelewa?
Nimekutajia sababu za messi kutokuondoka spain we unaanza kunitajia sijui uchafu gani?
Nipe sababu za messi kuondoka spain na kwenda kwenye ligi dhaifu km uingereza na italy
Nitajie timu iliyochukua uefa ambayo haitoki spain ndani ya miaka saba
Mchezaji bora, mfungaji bora wote wametoka spain sasa aondoke hapo aende wapi?
Na msimu huu messi anachukua ufungaji bora na mchezaji bora wa uefa
Mfano hiyo ligi ya uingereza yenye mabeki wabovu messi akienda timu km man.city anaweza funga goli 60 kwa msimu
Man City ya kichangani atafunga hata goli trillion 1 lkn kiukweli mwaka m1 nyuma CR 7 alichukua tuzo hiyo hiyo ya uchezaji bora wa dunia akiwa epl UK, je ligi ya UK ilikuwa bora kuliko ya ya Hispania/la liga[emoji848]
Ushatoka kwenye miaka 7 umeongeza hadi 10 tena, kakojoe ulale ili kesho urudi tena hapa na mahaba yako uchwara ya La liga.Ndani ya miaka kumi tuzo ya mchezaji bora imeenda wapi?
Mbona unakuwa na ubishi wakitoto
Ushatoka kwenye miaka 7 umeongeza hadi 10 tena, kakojoe ulale ili kesho urudi tena hapa na mahaba yako uchwara ya La liga.
We ni mpumbavu kumbe hujui kitu nimesema miaka kumi kwasababu nina uhakika
Tatizo huna takwimu umekalia ubishi wakishenzi tu
Iombe Google ikusaidia ndio uje ubishe mpuuzi wewe
Lombe google ndiyo mdudu gani vile[emoji848] kakojoe ulale maana povu lako limeshatafsiri jinsi gani ulivyo kilaza ktk uchambuzi wa mpira zaidi ya kuendeshwa na hisia zako za kimahaba ktk laliga[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1085062
Tatizo wewe nimekwambia ni akili ndogo nampira hujui unaropoka ropoka tu
Nimekuuliza maswali unajamba jamba tu
Haya nimekusaidia hapo kwa miaka kumi mfululizo tuzo ya mchezaji bora inaenda spain
We ni mshenzi kwasababu unabisha bila fact unaleta uduwanzi ubishi wa vijiweni
Nimekusikia "cha ujuaji uchwara" wa mpira wa kwenye keyboards za JF hapa
We jamaa acha ubishi, ni sawa na Mwalimu ambaye kila mwaka anafundisha Biology form 4 tu, kwa muda wa miaka mitano atakuwa amekariri kabisa notes zote kichwani na ataonekana mkali kumbe amezoea somo na kwa muda mrefu, Mwalimu kama Huyo hata ukimpa maswali ya Biology ya form 1 atachemka hata kama form 4 ni kubwa kuliko form 1, na Mwalimu huyo huwez kusema ni bora kuliko yule anayefundisha Biology form 1 hadi 4 na anafanya vizuri katika madarasa yote.We kijana unasoma na kuelewa?
Nimekutajia sababu za messi kutokuondoka spain we unaanza kunitajia sijui uchafu gani?
Nipe sababu za messi kuondoka spain na kwenda kwenye ligi dhaifu km uingereza na italy
Nitajie timu iliyochukua uefa ambayo haitoki spain ndani ya miaka saba
Mchezaji bora, mfungaji bora wote wametoka spain sasa aondoke hapo aende wapi?
Na msimu huu messi anachukua ufungaji bora na mchezaji bora wa uefa
Mfano hiyo ligi ya uingereza yenye mabeki wabovu messi akienda timu km man.city anaweza funga goli 60 kwa msimu
We jamaa acha ubishi, ni sawa na Mwalimu ambaye kila mwaka anafundisha Biology form 4 tu, kwa muda wa miaka mitano atakuwa amekariri kabisa notes zote kichwani na ataonekana mkali kumbe amezoea somo na kwa muda mrefu, Mwalimu kama Huyo hata ukimpa maswali ya Biology ya form 1 atachemka hata kama form 4 ni kubwa kuliko form 1, na Mwalimu huyo huwez kusema ni bora kuliko yule anayefundisha Biology form 1 hadi 4 na anafanya vizuri katika madarasa yote.
Tofautisha timu na ligi,barcelona na madrid wanatumia mamia kununua dembele,bale,ronaldo,suarez..lakini bado spurs anawapga tu nje ndaniUnataka aende kwenye ligi dhaifu? Angalia uefa ndani ya miaka saba imeenda spain sasa ahame aende wapi
Kiongoz.achana nao hao si wafatiliaj wa mpira we angalia hata comments zao unaona kabsa ni wale watu wa kusubiria kombe la dunia ndo waangalie mpira
Kwa mim namba 1 ni lionel pekee,..yaan hangaiken kupanga hzo zingne ila hyo na mba1 isiguswe,hakuna cha pele wala maradona..
Tofautisha timu na ligi,barcelona na madrid wanatumia mamia kununua dembele,bale,ronaldo,suarez..lakini bado spurs anawapga tu nje ndani
Punguza mihemko, Mifano ya kipumbavu ndo nini?.Usiniletee mfano wa kipumbavu
Mesi anapcheza uefa hakutani na hizo timu dhaifu kutoka kwenye ligi dhaifu?
Ubora wa ligi bora unapimwa kwa mafanikio ya uefa kwasababu wanakutana mabingwa tu
Haya nijibu haya maswali yafuatayo
Ndani ya miaka kumi kombe la uefa limeenda nchi gani?
Ndani ya miaka kumi mshindi wa baloon dor ametoka ligi gani?
Ndani ya miaka kumi mfungaji bora uefa ametoka ligi gani?
Ndani ya miaka kumi kikosi bora cha uefa kimetoka ligi gani kwa wingi
Acha kuongea kwa kubwabwaja ongea kwa fact