Hawa ndio wachezaji mastaa watakaokosa kushiriki Kombe la Dunia 2018

Kuna dogo mmoja anakuja juu sana yupo kwa mkopo Besiktas kutokaBenfica anaitwa Anderson Talisca dah!
Juzi kati aliitwa kwenye mechi ya kirafiki ila kwenye squad ya WC holaa..
 
Hilo lko wazi, hata barca pale anafanya mambo km hayo. Ni fundi hasa ila ni mduwanz upande wa pili.
Ilitakiwa aachane na hayo maana kwasasa nadhani anihitaji zaidi kushinda world cup. Akiendekeza chuki zisizo na faida atatoka kapa na hii nadhani ndio last chance kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…