Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
hiko ni kikosi cha awali, watachujwa wabaki 23 na hapo ndipo shughuli itakapokuwepo.Wameahaitwa wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiko ni kikosi cha awali, watachujwa wabaki 23 na hapo ndipo shughuli itakapokuwepo.Wameahaitwa wote.
Huyu si yupo simba? Kwani simba inaachezaga kombe la dunia?Haji Manara
Kuna issue nimeisikia kuwa Messi ana influence ya uchaguzi wa wachezaji nina wasiwasi asije mzibia Icardi maana nasikia Barca walimtaka jamaa akamzibia.
Hilo lko wazi, hata barca pale anafanya mambo km hayo. Ni fundi hasa ila ni mduwanz upande wa pili.Kuna issue nimeisikia kuwa Messi ana influence ya uchaguzi wa wachezaji nina wasiwasi asije mzibia Icardi maana nasikia Barca walimtaka jamaa akamzibia.
Southgate ni mpuuzi tu, naombea hili timu likatolewe hatua ya makundi kabsa..Jack Wilshere.
Super mario kiwango kimeshuka sana.Mario Gotze
Jack Wilshere.
Hiki ndio kikosi chake, ngoja tuone.Southgate ni mpuuzi tu, naombea hili timu likatolewe hatua ya makundi kabsa..
Ilitakiwa aachane na hayo maana kwasasa nadhani anihitaji zaidi kushinda world cup. Akiendekeza chuki zisizo na faida atatoka kapa na hii nadhani ndio last chance kwake.Hilo lko wazi, hata barca pale anafanya mambo km hayo. Ni fundi hasa ila ni mduwanz upande wa pili.