Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kocha wao ni mbaguzi wa kiaina. Anamuamini sana Kibonge Higuain kuliko Icardi.Paulo Dybala na Mauro Icardi hawa wapo danger zone yawezekana wasiitwe kikosini.
Paulo Dybala na Mauro Icardi hawa wapo danger zone yawezekana wasiitwe kikosini.
Yule kocha wao ni mbaguzi wa kiaina. Anamuamini sana Kibonge Higuain kuliko Icardi.
Huyu Icardi angesamehewa tu, kocha amwite kuongeza depth of the squad.Paulo Dybala na Mauro Icardi hawa wapo danger zone yawezekana wasiitwe kikosini.
kocha anasema Icardi na Dybala hawana viwango vya kuridhisha wakiwa timu ya taifa.Huyu Icardi angesamehewa tu, kocha amwite kuongeza depth of the squad.
hahaha Sampaoli anakwambia hata akiwaita watakaa benchi tu so bora atafute wengine wenye viwango kuwazidi.Nimeumia sana kutokuwepo hawa mafundi.
Kweli mkuuHuyu Icardi angesamehewa tu, kocha amwite kuongeza depth of the squad.
hahaha Sampaoli anakwambia hata akiwaita watakaa benchi tu so bora atafute wengine wenye viwango kuwazidi.
Mkuu c kwamba Icardi ni mbovu Higuain ana footwork nzurYule kocha wao ni mbaguzi wa kiaina. Anamuamini sana Kibonge Higuain kuliko Icardi.
ana tabia ya kuchapa wake za wachezaji wenzake shzny sn huyoMkuu c kwamba Icardi ni mbovu Higuain ana footwork nzur
Pia Icardi ni tabia mbovu
jamani ongezeni maombi. Dybala na Icardi wameitwa kwenye kikosi cha awali. tusubiri endapo watafanikiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha vijana 23Huyu Icardi angesamehewa tu, kocha amwite kuongeza depth of the squad.
Kama wameitwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwenye 23.jamani ongezeni maombi. Dybala na Icardi wameitwa kwenye kikosi cha awali. tusubiri endapo watafanikiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha vijana 23