Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Kwa kifupi, Taikon ametaja madem wanaoisuuza roho yake. Wanaofanya moyo wake udunde kama ngoma ya kijiji. Ndio maana yuko tayari kutuliza munkari a.k.a mawenge, hata kama wakimrarua kwenye comments!

Samahani, hapa ndio kwenye vita?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bila kuwemo Numbisa na Cocastic huu mkeka ni batili.
 

Unaweza usiwe mbali na ukweli.
Kama Mwanamke anaweza kutuliza hasira, kichaa, wenge, wendawazimu wako hakuna mahali amebakiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…