Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, Hauna mdogo wako ambaye hajaoa au binamu unipe🙃🙃Vizuri.
Upate mume bora kama Mimi
Huwa anaanza yeye.😊😊
Depal akikuambia ruka kichura chura unaruka?
Hauna mdogo wako ambaye hajaoa au binamu🙃🙃
Labda.Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo linaanzia hapa, hadhi Oya hizo Id ambazo sio popular zinamilikiwa na hawahawa[emoji2][emoji2]
Huwa anaanza yeye.
Nami sina nafasi ya kujishauri mara mbili
Wa humu hapana... Nataka asiyetumia Jf😃😃Wapo kibao hata humu wapo. Ngoja niwatag
DR HAYA LAND Half american Wakili wa shetani mshamba_hachekwi
Wa humu hapana... Nataka asiyetumia Jf😃😃
Bila kuwemo Numbisa na Cocastic huu mkeka ni batili.Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Usikonde mkuu.Huyo manzi wa Arusha mtawezana wenyewé
Kwa kifupi, Taikon ametaja madem wanaoisuuza roho yake. Wanaofanya moyo wake udunde kama ngoma ya kijiji. Ndio maana yuko tayari kutuliza munkari a.k.a mawenge, hata kama wakimrarua kwenye comments!
Samahani, hapa ndio kwenye vita?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usikonde mkuu.
Huwa tunawezana haswaa hadi tunaboa😀😀
Sawa Heriel
Fitina bana 😀 😀 😀 😀 😀😀Nasikia Depal ndiye alimkamata Dangote🏃🏃
Katika hiyo list yako hakuna wadada,kuna mabibi na wamama,ungeanza kuwaamkia kabla ya kuanza kutaja majina yao ingekua poa